Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam, Fountain Gate, Singida BS

Stars imepania kufuzu Afcon 2025

Joel JJ By Joel JJ
β€’
11 Nov 2024
Stars imepania kufuzu Afcon 2025

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' chini ya Kaimu Kocha Mkuu Suleiman Morocco na benchi lake la ufundi, inajifua katika uwanja wa KMC kujiandaa na mechi mbili za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2025 zitakazofanyika mwakani huko Morocco

Tanzania itachuana na Ethiopia Novemba 16 huku Kinshasa DR Congo na Novemba 19 kuhimisha mechi ya mwisho dhidi ya Guinea Novemba 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Tanzania inahitaji kushinda mechi zote mbili ili kuwa na uhakika wa kufuzu pasipo kujali matokeo ya Guinea ambayo iko nafasi ya pili kundi H ikiwa na alama 6 wakati Tanzania ikishika nafasi ya tatu ikiwa na alama 4

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
45m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’