International,Normal News,Arsenal, Chelsea

Arteta akerwa na sare dhidi ya Chelsea

Joel JJ By Joel JJ
β€’
11 Nov 2024
Arteta akerwa na sare dhidi ya Chelsea

Mikel Arteta amewalumu wachezaji wake Arsenal kwa kuruhusu jepesi katika mchezo wa Ligi ya Premia na kulazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Chelsea

Akizungumza baada ya mchezo huo, Arteta alidai vijana wake walipoteza umakini baada ya kufunga bao la kuongoza na kupelekea kutoweza kupata ushindi kwenye Uwanja wa Stamford Bridge

The Gunners walichukua nafasi ya mbele kutokana na shuti kali la Gabriel Martinelli baada ya Mbrazil huyo kupata pasi murua kutoka kwa nahodha aliyerejea Martin Odegaard

Ilichukua dakika kumi tu kwa Chelsea kurejesha usawa kutokana na juhudi kutoka kwa Pedro Neto

"Nadhani tuliwatawala, tulikuwa timu bora katika muda mwingi wa mchezo na baada ya kuongoza, tukapoteza umakini kwa kuruhusu bao jepesi sana"

"Sio aina ya mchezo wetu na haikubaliki kurudia makosa ya aina ile. Tulikuja hapa kupata pointi tatu na hatukupata"

"Tunahitaji kujipanga upya haraka ili tuendelee kuwa matumaini katika ubingwa msimu huu ingawa tumefanya kazi yetu kuwa ngumu," alisema

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
47m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’