Mikel Arteta amewalumu wachezaji wake Arsenal kwa kuruhusu jepesi katika mchezo wa Ligi ya Premia na kulazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Chelsea
Akizungumza baada ya mchezo huo, Arteta alidai vijana wake walipoteza umakini baada ya kufunga bao la kuongoza na kupelekea kutoweza kupata ushindi kwenye Uwanja wa Stamford Bridge
The Gunners walichukua nafasi ya mbele kutokana na shuti kali..... download Xtra 90 App



