Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa klabu ya KMC FC, Songoro Mnyonge, amesema Kocha wao Mkuu Abdihamid Moallin ameondoka kunako klabu hiyo kwenda kujiunga na klabu ya Yanga
Songoro amesema Moallin alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia KMC hivyo wao wanalaani kitendo hicho cha utoro alichofanya
"Ni kweli kocha wetu Moallin ametoroka kazini. Taarifa ya kuondoka kwake..... download Xtra 90 App



