Local,Normal News,KMC, Yanga

Moallin ametoroka kazini - KMC

Joel JJ By Joel JJ
β€’
12 Nov 2024
Moallin ametoroka kazini - KMC

Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa klabu ya KMC FC, Songoro Mnyonge, amesema Kocha wao Mkuu Abdihamid Moallin ameondoka kunako klabu hiyo kwenda kujiunga na klabu ya Yanga

Songoro amesema Moallin alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia KMC hivyo wao wanalaani kitendo hicho cha utoro alichofanya

"Ni kweli kocha wetu Moallin ametoroka kazini. Taarifa ya kuondoka kwake tuliipata kutoka kwa wachezaji baada ya mazoezi jana jioni"

"Tulimtafuta mara kadhaa bila mafanikio lakini baadae alipatikana na kuthibitisha ameondoka KMC"

"Sisi tunalaani kitendo hicho kwani ni kinyume na ustaarabu. Yanga wanafahamu Moallin ni kocha wetu walipaswa kututaarifu mapema kumuhitaji kocha wetu kwani bado ana mkataba nasi," alisema Songoro

Awali kocha huyo alikuwa akihusishwa kutimkia Afrika Kusini lakini sasa imethibitishwa Moallin ni Mwananchi

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
26m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
17h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’