Local,Normal News,Singida

Tchakei apania kufanya makubwa zaidi Ligi Kuu

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Nov 2024
Tchakei apania kufanya makubwa zaidi Ligi Kuu

Kiungo wa Singida Black Stars, Marouf Tchakei, amesema tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Oktoba ni chachu kwake ya kuendelea kufanya vizuri kwenye kikosi cha timu yake

Nyota huyo raia wa Togo wiki iliyopita alitangazwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu kwa mwezi Oktoba pamoja na kocha wa Azam FC, Rachid Toussi aliyetangazwa kuwa kocha bora

Tchakei amebainisha kuwa tuzo hiyo imempa hamasa ya kuendelea kujituma kwenye timu yake na kusaidia kufanya vizuri

"Nawashukuru wachezaji wenzangu kwa ushirikiano wao, hii tuzo ni chachu ya kuendelea kufanya vizuri na kusaidia timu kufanya vizuri zaidi," alisema nyota huyo

Alisema ligi ni ngumu na yenye ushindani hivyo lazima kama wachezaji wajitume katika kila mchezo kuweza kupata ushindi utakaoisaidia timu hiyo kuendelea kukaa kwenye nafasi za juu

Singida Black Stars inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na pointi 23 baada ya kucheza michezo 10 ikizidiwa kwa pointi mbili na vinara wa Ligi hiyo, Simba huku Yanga ikiwa kwenye nafasi ya pili na pointi 24

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
5h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’