Kiungo wa Singida Black Stars, Marouf Tchakei, amesema tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Oktoba ni chachu kwake ya kuendelea kufanya vizuri kwenye kikosi cha timu yake
Nyota huyo raia wa Togo wiki iliyopita alitangazwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu kwa mwezi Oktoba pamoja na kocha wa Azam FC, Rachid Toussi aliyetangazwa kuwa kocha bora
Tchakei amebainisha kuwa tuzo hiyo imempa hamasa..... download Xtra 90 App



