FIFA kuja na mbadala wa VAR

Joel JJ By Joel JJ β€’ 14th November 2024

FIFA kuja na mbadala wa VAR

Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limepanga kuanzisha mfumo mpya wa Football Video Support utakaoitwa kwa kiufupi Kwa jina la FVS

Mfumo huo unaandaliwa Ili kuja kuwa mbadala wa Video Assistant Referee VAR

FIFA wameeleza kuwa mfumo huo utakuwa Bora zaidi na rahisi kutumika

FVS utakuwa na camera system kuanzia 4-5 kwa ajili ya kufanya review ya matukio tata yanayotakiwa kufanyiwa maamuzi sahihi

Makocha wa timu mbili zitakazokuwa kiwanjani wanaruhusiwa kumwambia mwamuzi akafanye review mara mbili ndani ya mchezo kama kuna matukio wameona hajatoa maamuzi sahihi

Mwamuzi pekee ndie atakaeruhusiwa kwenda kuangalia review kwenye FVS pindi atakapopokea malalamiko ya makocha kwenye matukio tata ambayo maamuzi yake wanaona kama hayajaenda sawa

FIFA

More Stories

Yanga yarejea kileleni Ligi Kuu ikiibamiza Fountain Gate 2-0
Yanga yarejea kileleni Ligi Kuu ikiibamiza Fountain Gate 2-0
Today, READ MORE β†’
Kane aifikia rekodi ya Lineker ya mabao 10 kombe la Dunia
Kane aifikia rekodi ya Lineker ya mabao 10 kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’
Simba yalimwa faini 10M, Mabena, Komba wakumbana na rungu la kamati ya saa 72
Simba yalimwa faini 10M, Mabena, Komba wakumbana na rungu la kamati ya saa 72
Today, READ MORE β†’
Simba yamfuatilia kipa wa Zimbabwe Nelson Chadya
Simba yamfuatilia kipa wa Zimbabwe Nelson Chadya
Today, READ MORE β†’
Zwane kukosa mechi zilizobaki kombe la Dunia
Zwane kukosa mechi zilizobaki kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’
Sowah kurejea Singida BS?
Sowah kurejea Singida BS?
Today, READ MORE β†’
Mubiru atua Azam Fc
Mubiru atua Azam Fc
Today, READ MORE β†’
Ligi Kuu: Yanga mikononi mwa Fountain Gate, mechi tatu kupigwa leo
Ligi Kuu: Yanga mikononi mwa Fountain Gate, mechi tatu kupigwa leo
Today, READ MORE β†’
Ghana yaandikisha ushindi wa pili kwa Afrika, Uingereza yaanza kwa kishindo
Ghana yaandikisha ushindi wa pili kwa Afrika, Uingereza yaanza kwa kishindo
Today, READ MORE β†’
DR Congo yapata sare ya kihistoria kombe la Dunia
DR Congo yapata sare ya kihistoria kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’