Klabu ya Coastal Union imewatangazia wanachama wake kuwa itafanya uchaguzi mkuu wa viongozi wa klabu hiyo kwa mujibu wa katiba ambayo inawataka kuchagua viongozi wapya kila baada ya miaka 4
Uchaguzi huo utahusisha nafasi ya Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti pamoja na wajumbe wa kamati ya utendaji
Taratibu za zoezi hilo zinaanza hapo kesho tarehe 15/11/2024 na hatua ya uchukuaji fomu na..... download Xtra 90 App



