Klabu ya KMC imemtangaza Kali Ongala kuwa kocha mkuu wa timu hiyo akichukua nafas ya Abdihamid Moallin aliyejiuzulu
Akizungumza na waandishi wa habari Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Hamis Songoro amesema Ongala ambaye ni kocha wa zamani wa Azam ataiongoza timu hiyo mpaka mwisho wa msimu huu. 2024/25
Songoro amebainisha kuwa umefikiwa baada ya Bodi ya klabu hiyo kufanya kikao na kupitia wasifu wa makocha mbalimbali na hatimae kumpitisha Kali
