International,Transfer News,

Tetesi za usajili Ulaya, Ijumaa Novemba 15 2024

Joel JJ By Joel JJ
β€’
15 Nov 2024
Tetesi za usajili Ulaya, Ijumaa Novemba 15 2024

Beki wa kulia wa Liverpool Trent Alexander-Arnold anaendelea kukataa ofa za kuongeza mkataba wake Anfield huku Real Madrid wakiendelea na mazungumzo ya kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 mkataba wake wa sasa utakapokamilika msimu ujao wa joto. (Relevo - Spanish)

West Ham wanatarajiwa kusimama kidete kumuuza kiungo mshambuliaji wa Ghana Mohammed Kudus kwa pauni milioni 85 huku Arsenal na Liverpool zikimfuatilia mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24. (Mail – Subscription Required)

Kocha wa Bayer Leverkusen Xabi Alonso ataondoka katika klabu hiyo ya Bundesliga mwishoni mwa msimu huu licha ya kusaini kandarasi hadi 2026, huku Real Madrid ikitarajiwa kuwa eneo analotarajiwa kuelekea. (Eurosport In Spanish)

Barcelona wanavutiwa na beki wa kushoto wa Wolves Mhispania Hugo Bueno, 22, ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo katika klabu ya Feyenoord ya Uholanzi. (Sport – In Spanish)

Real Madrid wamefanya uchunguzi wa kwanza kutaka kumsajili beki wa kati wa kimataifa wa Ujerumani wa Bayer Leverkusen Jonathan Tah. Barcelona, Bayern Munich na vilabu vya Premier League vinadaiwa kumfuatilia beki huyo ambaye mkataba wake na Leverkusen unamalizika mwishoni mwa msimu huu. (AS – In Spanish)

BBC

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’