Klabu ya Singida Black Stars inatajwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji Jonathan Sowah raia wa Ghana
Sowah ataanza kuitumikia Singida BS mwezi ujao pale dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa
Chanzo kutoka ndani ya uongozi wa Singida BS, kimethibitisha kuwa mshambuliaji huyo aliyekuwa akiitumikia Al Nasr Benghazi ya Libya, tayari yuko nchini





