Local,Transfer News,Singida

Singida Black Stars yashusha mshambuliaji Mghana

Joel JJ By Joel JJ
β€’
15 Nov 2024
Singida Black Stars yashusha mshambuliaji Mghana

Klabu ya Singida Black Stars inatajwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji Jonathan Sowah raia wa Ghana

Sowah ataanza kuitumikia Singida BS mwezi ujao pale dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa

Chanzo kutoka ndani ya uongozi wa Singida BS, kimethibitisha kuwa mshambuliaji huyo aliyekuwa akiitumikia Al Nasr Benghazi ya Libya, tayari yuko nchini

Katika dirisha lililopita la usajili, Sowah alihusishwa kujiunga na Yanga lakini Benghazi hawakuwa tayari kumuuza kwa wakati huo

Kabla ya kuelekea Libya, Sowah (25) aliitumikia Medeama Fc ambapo msimu uliopita ilikuwa kundi moja na Yanga katika michuano ya ligi ya mabingwa hatua ya makundi

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
5h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’