Pep Guardiola, 53, amefikia makubaliano ya kimsingi ya kuongezwa kwa mwaka mmoja mkataba wake Manchester City. (Football Insider)
Manchester United itakabiliana na ushindani kutoka kwa Union Berlin kumsajili kiungo wa kati wa Ujerumani Leon Goretzka, 29, ambaye anatatizika na hali yake katika klabu ya Bayern Munich. (Team Talk)
Ruud van Nistelrooy ametuma ombi la kuwa kocha mkuu wa..... download Xtra 90 App



