Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kiko ugenini huko DR Congo kuchuana na wenyeji Ethiopia katika mechi ya kusaka tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), itakayochezwa leo kwenye Uwanja wa Des Martyrs, Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DR Congo)
Mechi hiyo itachezwa kuanzia saa 1:00 usiku kwa saa za Tanzania na Ethiopia..... download Xtra 90 App



