Mchezo wa kirafiki kati ya Fountain Gate dhidi ya Singida Black Stars uliopigwa uwanja wa Tanzanite Kwaraa huko Manyara umemalizika kwa Fountain Gate kukubali kichapo cha mabao 3-1
Mabao mawili ya Elvis Rupia na bao moja la Joseph Guede lilitosha kuihakikishia Singida BS ushindi katika mchezo huo wa kujipima yakiwa ni maandalizi kuelekea mechi za ligi kuu zitakazofuata baada ya kukamilika mapumziko ya kalenda ya FIFA





