International,Transfer News,Manchester City

Haaland anaendelea kuweka rekodi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
18 Nov 2024
Haaland anaendelea kuweka rekodi

Mshambuliaji wa Manchester City, Erling Haaland alifunga hat-trick na kuisaidia Norway kuongoza Kundi B3 katika Ligi ya Mataifa baada ya kushinda 5-0 dhidi ya Kazakhstan Jumapili

Haijalishi jezi gani Erling Haaland anavaa lakini magoli ni uhakika. Fowadi huyo wa Man City aliendelea na kiwango chake cha moto katika Ligi ya Mataifa Jumapili alipofunga mabao matatu katika ushindi wa Norway dhidi ya Kazakhstan kwa mabao 5-0 na kumaliza kileleni mwa Kundi B3 mbele ya Austria ambao walitoka sare ya 1-1 na Slovenia

Haaland alikuwa katika kiwango bora zaidi alipofunga bao maridhawa, akipiga shuti la chini dakika ya 23. Kisha akafunga bao lake la 37 la kimataifa dakika 14 baadaye kutokana na mpira kutoka kwa Antonio Nusa

Mchezaji huyo wa zamani wa Borussia Dortmund alikamilisha bao la tatu na nne kwa Norway zikiwa zimesalia dakika 19 za mchezo

Katika mechi 20 za klabu na timu ya Taifa, Haaland amefunga jumla ya mabao 22

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
45m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’