Kocha wa KenGold, Omary Kapilima amesema kipindi hiki ambacho Ligi Kuu Bara imesimama, anaendelea na jukumu kubwa la kuhakikisha anatengeneza balansi nzuri ya kikosi hicho, kuanzia eneo la uzuiaji na ushambuliaji ambalo lina changamoto
Kapilima amezungumza hayo wakati kikosi hicho kikiburuza mkia katika msimamo wa Ligi Kuu Bara na pointi tano baada ya kushinda mchezo mmoja kati ya 11..... download Xtra 90 App



