Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Hemed Morocco amesema wanafahamu mchezo dhidi ya Guinea kesho utaamua hatma yao kama wanafuzu kwa michuano ya Afcon 2025 au la
Morocco amesema wachezaji wote wako tayari kwa mchezo huo na wamejipanga kuhakikisha wanaibuka na ushindi
"Tumerejea salama kutoka Ethiopia, tumepata muda mzuri wa recovery na leo tutaendelea na..... download Xtra 90 App



