Chelsea inapanga kuwasilisha ombi la kumunua Caoimhin Kelleher, Christian Pulisic anavivutia vilabu vya Ligi ya Premia, Ruben Amorim kufanya kazi na bajeti ndogo zaidi Manchester United. Manchester United wanavutiwa na winga wa AC Milan na Marekani Christian Pulisic, 26, pamoja na Liverpool na West Ham . (Kalciomercato)
Chelsea wanapanga kumnunua kipa wa Liverpool na Jamhuri ya Ireland..... download Xtra 90 App



