Muda mchache baada ya watani zao Simba kutambulisha jezi watakazotumia katika michuano ya kombe la Shirikisho kuanzia hatua ya makundi, klabu ya Yanga inayoshiriki ligi ya mabingwa nayo imetambulisha jezi zake kwa ajili ya michuano hiyo
Mbunifu wa jezi za klabu hiyo Sheria Ngowi ameendelea kujipambanua katika ubunifu wake



