Chelsea, Leicester, International

Drinkwater ageukia ujenzi baada ya kustaafu

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 Nov 2024
Drinkwater ageukia ujenzi baada ya kustaafu

Kiungo wa zamani wa Chelsea na Leicester City raia wa Uingereza Dani Drinkwater ambaye alishinda ubingwa EPL akiwa na Leicester City mwaka wa 2016, sasa ni mtaalam wa ujenzi

Baada ya kuitumikia Leicester City kwa mafanikio, Drinkwater alisajiliwa na Chelsea mwaka wa 2017 kabla ya kutolewa kwa mkopo katika klabu ya Burnley

Kandarasi yake na Chelsea ilifikia ukomo Juni 2022 ambapo mchezaji huyo hakuweza kupata klabu mpya, alitangaza kustaafu soka la kulipwa mnamo Mei 2023

Drinkwater sasa anafanya kazi katika ujenzi. Katika mahojiano na The Telegraph, alitaja kufurahia kazi anayoifanya kwa sasa

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
29m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’