Tabora United vs Singida BS kupigwa leo

Joel JJ By Joel JJ β€’ 25th November 2024

Tabora United vs Singida BS kupigwa leo

Mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Tabora United dhidi ya Singida Black Stars uliokuwa uchezwe jana Novemba 24 kwenye Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi Tabora uliahirishwa baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha uwanja kujaa maji

Kutokana na kadhia hiyo, mchezo huo umepagwa kuchezwa leo Jumatatu Novemba 25, 2024 saa 4:00 asubuhi

Kamishna kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Said Mkai amesema walifanya jitihada za kuhakikisha mchezo huo unachezwa jana lakini ilishindikana

Mkai alibainisha makubaliano ya mchezo huo kuahirishwa yalifikiwa kwa timu zote mbili kushirikishwa na kuamua uahirishwe

More Stories

Yanga yarejea kileleni Ligi Kuu ikiibamiza Fountain Gate 2-0
Yanga yarejea kileleni Ligi Kuu ikiibamiza Fountain Gate 2-0
Today, READ MORE β†’
Kane aifikia rekodi ya Lineker ya mabao 10 kombe la Dunia
Kane aifikia rekodi ya Lineker ya mabao 10 kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’
Simba yalimwa faini 10M, Mabena, Komba wakumbana na rungu la kamati ya saa 72
Simba yalimwa faini 10M, Mabena, Komba wakumbana na rungu la kamati ya saa 72
Today, READ MORE β†’
Simba yamfuatilia kipa wa Zimbabwe Nelson Chadya
Simba yamfuatilia kipa wa Zimbabwe Nelson Chadya
Today, READ MORE β†’
Zwane kukosa mechi zilizobaki kombe la Dunia
Zwane kukosa mechi zilizobaki kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’
Sowah kurejea Singida BS?
Sowah kurejea Singida BS?
Today, READ MORE β†’
Mubiru atua Azam Fc
Mubiru atua Azam Fc
Today, READ MORE β†’
Ligi Kuu: Yanga mikononi mwa Fountain Gate, mechi tatu kupigwa leo
Ligi Kuu: Yanga mikononi mwa Fountain Gate, mechi tatu kupigwa leo
Today, READ MORE β†’
Ghana yaandikisha ushindi wa pili kwa Afrika, Uingereza yaanza kwa kishindo
Ghana yaandikisha ushindi wa pili kwa Afrika, Uingereza yaanza kwa kishindo
Today, READ MORE β†’
DR Congo yapata sare ya kihistoria kombe la Dunia
DR Congo yapata sare ya kihistoria kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’