Local,Normal News,Yanga

Yanga yakamilisha maandalizi kuikabili Al Hilal

Joel JJ By Joel JJ
β€’
25 Nov 2024
Yanga yakamilisha maandalizi kuikabili Al Hilal

Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi yake ya mwisho katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuelekea mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika

Kesho Jumanne, Novemba 26 Yanga itakuwa mwenyeji wa Al Hilal katika mchezo utakaopigwa dimba la Mkapa, saa 10 jioni

Kocha mpya wa Yanga Sead Ramovic aliongoza mazoezi ya kikosi chake leo ikiwa ni siku ya nane tangu alipotangazwa kuchukua mikoba ya Miguel Gamondi ambaye wiki iliyopita, alionyeshwa mlango wa kutokea

Wapinzani wao Al Hilal wako nchini tangu wiki iliyopita, jioni watajifua katika uwanja wa Benjamin Mkapa

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
19h ago
READ MORE β†’