Mchezo wa ligi kuu kati ya Tabora United dhidi ya Singida Black Stars uliopigwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora asubuhi ya leo, Jumatatu Novemba 25, umemalizika kwa matokeo ya sare ya mabao 2-2
Mchezo huo ambao ulipaswa kupigwa jana, uliahirishwa baada ya mvua kubwa kunyesha mkoani Tabora na kujaza maji uwanja wa Ali Hassan Mwinyi
Singida Black Stars watajilaumu wenyewe..... download Xtra 90 App



