Kocha Mkuu wa Al Hilal Florent Ibenge amesema mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Yanga ambao utapigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Benjamin Mkapa, utakuwa mgumu kwa kila upande
Ibenge amesema katika kundi A kila timu ina nafasi ya kusonga mbele hivyo anatarajia kila mechi watakayocheza iwe nyumbani au ugenini itakuwa ngumu
Aidha Ibenge amebainisha kuwa awali walijiandaa dhidi ya..... download Xtra 90 App



