Baada ya kukamilika kwa mechi za raundi ya kwanza kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC), wawakilishi wa Tanzania katika michuano hiyo, Simba na CS Constantine ya Algeria ndio vinara wa kundi A baada ya kushinda kwa bao 1-0 katika mechi zao
..... download Xtra 90 App



