Mshambuliaji wa Namungo, Hassan Kabunda amesema hali inayopitia timu hiyo sio shwari kufuatia matokeo mabaya mfululizo ya Ligi
Juzi Namungo Fc imepoteza mchezo wa 9 nyumbani kwa kuchapwa mabao 2-0 na Yanga katika dimba la Majaliwa
Mechi tano za mwisho, Namungo imeshinda moja dhidi ya Pamba Jiji Oktoba 28 kwa bao 1-0 ikipoteza nne mbele ya Yanga 2-0, Mashujaa 1-0, KMC 1-0 na Simba..... download Xtra 90 App



