Yanga kuifuata MC Alger leo

Joel JJ By Joel JJ β€’ 3rd December 2024

Yanga kuifuata MC Alger leo

Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka nchini leo kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wa raundi ya pili hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika (CAF CL)

Jumamosi, Disemba 07 Yanga itamenyana na MC Alger katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Julai 05 huko Algeria

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema timu itaondoka leo Jumanne, jioni

Yanga ilipoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Al Hilal hivyo mabingwa hao wa Tanzania Bara wanakwenda Algeria kusaka ushindi ili kuweka hai matumaini ya kufuzu robo fainali

Wako nafasi ya nne katika kundi A linaloongozwa na Al Hilal yenye alama tatu huku MC Alger na TP Mazembe zikifuatia na alama moja baada ya mchezo baina yao kumalizika kwa matokeo ya suluhu ya bila kufungana wiki iliyopita

More Stories

Yanga yarejea kileleni Ligi Kuu ikiibamiza Fountain Gate 2-0
Yanga yarejea kileleni Ligi Kuu ikiibamiza Fountain Gate 2-0
Today, READ MORE β†’
Kane aifikia rekodi ya Lineker ya mabao 10 kombe la Dunia
Kane aifikia rekodi ya Lineker ya mabao 10 kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’
Simba yalimwa faini 10M, Mabena, Komba wakumbana na rungu la kamati ya saa 72
Simba yalimwa faini 10M, Mabena, Komba wakumbana na rungu la kamati ya saa 72
Today, READ MORE β†’
Simba yamfuatilia kipa wa Zimbabwe Nelson Chadya
Simba yamfuatilia kipa wa Zimbabwe Nelson Chadya
Today, READ MORE β†’
Zwane kukosa mechi zilizobaki kombe la Dunia
Zwane kukosa mechi zilizobaki kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’
Sowah kurejea Singida BS?
Sowah kurejea Singida BS?
Today, READ MORE β†’
Mubiru atua Azam Fc
Mubiru atua Azam Fc
Today, READ MORE β†’
Ligi Kuu: Yanga mikononi mwa Fountain Gate, mechi tatu kupigwa leo
Ligi Kuu: Yanga mikononi mwa Fountain Gate, mechi tatu kupigwa leo
Today, READ MORE β†’
Ghana yaandikisha ushindi wa pili kwa Afrika, Uingereza yaanza kwa kishindo
Ghana yaandikisha ushindi wa pili kwa Afrika, Uingereza yaanza kwa kishindo
Today, READ MORE β†’
DR Congo yapata sare ya kihistoria kombe la Dunia
DR Congo yapata sare ya kihistoria kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’