International,Normal News,Real Madrid, Barcelona

Real Madrid wanarudi kileleni La Liga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
3 Dec 2024
Real Madrid wanarudi kileleni La Liga

Jude Bellingham na Kylian Mbappe juzi walifunga mabao ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Getafe na kuifanya Real Madrid wakizidi kusogea kileleni mwa msimamo wa ligi sasa wakitofautiana alama moja tu na kinara wa LaLiga Barcelona wakiwa na mchezo mkononi 

Baada ya Barca kuchapwa mabao 2-1 na Las Palmas, Los Blancos walifunga bao la kwanza kupitia mkwaju wa penalti, Bellingham hakufanya makosa baada ya Allan Nyom kuadhibiwa kwa kumchezea vibaya Antonio Rudiger

Bellingham kisha akageuka mtoa huduma huku Madrid wakiongeza bao la pili dakika nane baadaye kwa kumpata nahodha wa Ufaransa, ambaye alipiga mpira nje ya eneo la hatari kwa bao lake la 10 msimu huu, akifunga katika mechi mfululizo za ligi kuu kwa mara ya kwanza tangu Septemba

Madrid sasa imeshinda kila mechi kati ya 16 zilizopita za LaLiga dhidi ya Getafe

Real Madrid sasa wanahitaji kushinda mechi yao ya kiporo ili kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi na kuindoa Barca ambayo karibuni imekosa ushindi katika mechi tatu mfululizo za La Liga

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’