Simba yataja sababu ya Manula kutosafiri Algeria

Joel JJ By Joel JJ β€’ 4th December 2024

Simba yataja sababu ya Manula kutosafiri Algeria

Mlinda lango wa Simba Aishi Manula alikuwa miongoni mwa wachezaji waliokuwa wakisafiri kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya CS Constantine ambao utapigwa Jumapili, Disemba 08

Hata hivyo Manula alipata changamoto ya kiafya muda mfupi kabla ya kuanza safari na hivyo kushindwa kusafiri

Klabu ya Simba imethibitisha kwa mlinda lango huyo kushindwa kuungana na wenzake katika safari

Simba imewasili Instabul na inatarajiwa kuunganisha ndege nyingine kuelekea Algeria

More Stories

Yanga yarejea kileleni Ligi Kuu ikiibamiza Fountain Gate 2-0
Yanga yarejea kileleni Ligi Kuu ikiibamiza Fountain Gate 2-0
Today, READ MORE β†’
Kane aifikia rekodi ya Lineker ya mabao 10 kombe la Dunia
Kane aifikia rekodi ya Lineker ya mabao 10 kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’
Simba yalimwa faini 10M, Mabena, Komba wakumbana na rungu la kamati ya saa 72
Simba yalimwa faini 10M, Mabena, Komba wakumbana na rungu la kamati ya saa 72
Today, READ MORE β†’
Simba yamfuatilia kipa wa Zimbabwe Nelson Chadya
Simba yamfuatilia kipa wa Zimbabwe Nelson Chadya
Today, READ MORE β†’
Zwane kukosa mechi zilizobaki kombe la Dunia
Zwane kukosa mechi zilizobaki kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’
Sowah kurejea Singida BS?
Sowah kurejea Singida BS?
Today, READ MORE β†’
Mubiru atua Azam Fc
Mubiru atua Azam Fc
Today, READ MORE β†’
Ligi Kuu: Yanga mikononi mwa Fountain Gate, mechi tatu kupigwa leo
Ligi Kuu: Yanga mikononi mwa Fountain Gate, mechi tatu kupigwa leo
Today, READ MORE β†’
Ghana yaandikisha ushindi wa pili kwa Afrika, Uingereza yaanza kwa kishindo
Ghana yaandikisha ushindi wa pili kwa Afrika, Uingereza yaanza kwa kishindo
Today, READ MORE β†’
DR Congo yapata sare ya kihistoria kombe la Dunia
DR Congo yapata sare ya kihistoria kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’