Kiungo wa Ushambuliaji wa Klabu ya Tabora United Offen Chikola amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Novemba wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara
Hii ni baada ya Kuwashinda Golikipa wa klabu ya Simba Moussa Camarra na Mshambuliaji wa klab ya Tabora United Yacouba Songne
Katika Michezo 4 ya mwezi Novemba waliyocheza Tabora United, Offen Chikola amekuwa Katika kiwango Bora Huku..... download Xtra 90 App



