Local,Normal News,Azam, Tabora

Chikola mchezaji bora ligi kuu Novemba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
4 Dec 2024
Chikola mchezaji bora ligi kuu Novemba

Kiungo wa Ushambuliaji wa Klabu ya Tabora United Offen Chikola amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Novemba wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara

Hii ni baada ya Kuwashinda Golikipa wa klabu ya Simba Moussa Camarra na Mshambuliaji wa klab ya Tabora United Yacouba Songne

Katika Michezo 4 ya mwezi Novemba waliyocheza Tabora United, Offen Chikola amekuwa Katika kiwango Bora Huku akifanikiwa kufunga Mabao Matatu (3) Katika Dakika 351 alizoshuka dimbani

Hii inakuwa Tuzo ya kwanza kwa Chikola tangu aanze kucheza ligi kuu ya NBC Tanzania Bara Katika Vilabu tofauti tofauti kama Geita Gold na Mtibwa Sugar

Kocha Mkuu Rachid Taoussi wa Azam FC amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Novemba pia, Kocha Rachid amewashinda makocha wenzake Fadlu Davies wa Simba na Hamad Ally wa JKT Tanzania

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
45m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’