Local,Normal News,Simba, Yanga, Azam

Fursa kwa Simba, Yanga, Azam Fc kucheza Urusi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
5 Dec 2024
Fursa kwa Simba, Yanga, Azam Fc kucheza Urusi

Klabu za Simba, Yanga na Azam za Ligi kuu ya Tanzania Bara zimepata fursa ya kucheza mechi za kirafiki na Klabu za Ligi kuu ya Urusi pamoja na kuweka kambi kwa timu hizo katika kipindi cha mapumziko ya ligi kuu

Fursa hiyo imepatikana kufuatia ziara ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro nchini humo ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Michezo wa nchi hiyo Mhe. Mikhail Degtyarev Desemba 3, 2024

Pamoja na fursa hiyo Mhe. Ndumbaro amependekeza kuwapo na ushirikiano wa kubadilishana utaalamu katika ngazi ya vilabu pamoja na kuwa na michezo ya mara kwa mara ya kirafiki baina ya vilabu vya ligi mbalimbali za nchi hizo mbili

Aidha, Waziri Ndumbaro ametembelea ofisi za Bodi ya Ligi Kuu ya Urusi na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Muendeshaji Mkuu wa bodi hiyo Bw. Evgeniy Melezhikov ambapo wamekubaliana kuanzisha ushirikiano baina ya timu za taifa na kuwa na mechi za kirafiki

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
3h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
5h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
6h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
6h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’