Klabu za Simba, Yanga na Azam za Ligi kuu ya Tanzania Bara zimepata fursa ya kucheza mechi za kirafiki na Klabu za Ligi kuu ya Urusi pamoja na kuweka kambi kwa timu hizo katika kipindi cha mapumziko ya ligi kuu
Fursa hiyo imepatikana kufuatia ziara ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro nchini humo ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Michezo wa..... download Xtra 90 App



