Baada ya kikosi kutua salama Algiers jana, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema hawana wasiwasi wowote kuelekea mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji MC Alger utakaochezwa Jumamosi uwanja wa July 05 1962
Yanga itashuka katika mechi hiyo ya pili ya hatua ya makundi ikiwa na kumbukumbu ya kufungwa mabao 2-0 na Al Hilal ya Sudan, mechi iliyochezwa kwenye..... download Xtra 90 App



