International,Normal News,Local

Makundi kombe la Dunia la klabu 2025

Joel JJ By Joel JJ
β€’
6 Dec 2024
Makundi kombe la Dunia la klabu 2025

Droo ya Klabu Bingwa Dunia imechezeshwa jana ambapo Mabingwa watetezi Manchester City watakutana na Juventus katika hatua ya makundi huku Chelsea wakikutana na timu ya Flamengo kutoka Brazil

Man City ambao waiifunga Fluminense kutoka Brazil kwenye fainali za msimu uliopita ilitwaa taji hilo kwa mara ya kwanza 2023, wataanza kutetea taji lao dhidi ya Wydad ya Morocco na pia kucheza na Al Ain kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu katika Kundi G

Huu hapa mpangilio wa makundi;

  • Kundi A: Palmeiras, FC Porto, Al Ahly, Inter Miami
  • Kundi B: Paris St-Germain, Atletico Madrid, Botafogo, Seattle Sounders
  • Kundi C: Bayern Munich, Auckland City, Boca Juniors, Benfica
  • Kundi D: Flamengo, Esperance Sportive de Tunisie, Chelsea, Club Leon
  • Kundi E: River Plate, Urawa Red Diamonds, Monterrey, Inter Milan
  • Kundi F: Fluminense, Borussia Dortmund, Ulsan, Mamelodi Sundowns
  • Kundi G: Manchester City, Wydad, Al Ain, Juventus Kundi
  • Kundi H: Real Madrid, Al Hilal, Pachuca, Salzburg.

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
59m ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
4h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
6h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
8h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
10h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
10h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
11h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
16h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
23h ago
READ MORE β†’