Singida BS iko busy dirisha dogo

Joel JJ By Joel JJ β€’ 9th December 2024

Singida BS iko busy dirisha dogo

Kuelekea dirisha dogo la usajili ambalo litafunguliwa wiki ijayo, Singida Black Stars imewarejesha wachezaji wake watatu waliokuwa wakiitumikia Tabora United kwa mkopo

Kiungo Morice Chukwu na walinzi wa kati Faria Ondongo na Hernest Malonga wote wamerejeshwa kunako klabu hiyo yenye Makao yake makuu mkoani Singida

Singida BS pia imewatoa wachezaji wengine watatu kwa mkopo kuzitumikia klabu nyingine za ligi kuu

Mlinzi wa kushoto Hamad Majimengi atajiunga na Pamba Jiji kama ilivyo kwa Habib Kyombo huku Kelvin Nashon akitua klabu ya Yanga

Singida BS pia inahusishwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Ghana Jonathan Sowah aliyewahi kuitumikia Medeama Fc ya Ghana kabla ya kutimkia ligi kuu ya Libya

More Stories

Yanga yarejea kileleni Ligi Kuu ikiibamiza Fountain Gate 2-0
Yanga yarejea kileleni Ligi Kuu ikiibamiza Fountain Gate 2-0
Today, READ MORE β†’
Kane aifikia rekodi ya Lineker ya mabao 10 kombe la Dunia
Kane aifikia rekodi ya Lineker ya mabao 10 kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’
Simba yalimwa faini 10M, Mabena, Komba wakumbana na rungu la kamati ya saa 72
Simba yalimwa faini 10M, Mabena, Komba wakumbana na rungu la kamati ya saa 72
Today, READ MORE β†’
Simba yamfuatilia kipa wa Zimbabwe Nelson Chadya
Simba yamfuatilia kipa wa Zimbabwe Nelson Chadya
Today, READ MORE β†’
Zwane kukosa mechi zilizobaki kombe la Dunia
Zwane kukosa mechi zilizobaki kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’
Sowah kurejea Singida BS?
Sowah kurejea Singida BS?
Today, READ MORE β†’
Mubiru atua Azam Fc
Mubiru atua Azam Fc
Today, READ MORE β†’
Ligi Kuu: Yanga mikononi mwa Fountain Gate, mechi tatu kupigwa leo
Ligi Kuu: Yanga mikononi mwa Fountain Gate, mechi tatu kupigwa leo
Today, READ MORE β†’
Ghana yaandikisha ushindi wa pili kwa Afrika, Uingereza yaanza kwa kishindo
Ghana yaandikisha ushindi wa pili kwa Afrika, Uingereza yaanza kwa kishindo
Today, READ MORE β†’
DR Congo yapata sare ya kihistoria kombe la Dunia
DR Congo yapata sare ya kihistoria kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’