Coastal Union, Matampi wamalizana

Joel JJ By Joel JJ β€’ 10th December 2024

Coastal Union, Matampi wamalizana

Klabu ya Coastal Union imefikia makubaliano ya pande zote mbili na aliyekuwa golikipa wao Ley Ngumbi Matamp ya kuvunja mkataba

Kupitia ukurasa rasmi wa klabu hiyo imethibitisha kufikiwa kwa makubaliano hayo

"Tumefikia makubaliano baina ya klabu yetu na golikipa wetu Ley Ngumbi Matamp ya kumaliza huduma za pande zote mbili"

"Uzoefu wako umechangia kwa asilimia kubwa mafanikio yetu ya msimu uliopita. Shukrani za kipekee kwa kocha wetu wa magolikipa Mansour Ally ambaye alitumia nguvu na maarifa makubwa ya kurudisha uwezo na kiwango chako ukawa msaada mkubwa eneo la kulinda lango letu"

"Tunakutakia kheri nyingi,na mafanikio zaidi katika maisha yako," ilimaliza taarifa ya Coastal Union

Matampi alijiunga Coastal Union msimu uliopita 2023/2024 akiwa mchezaji huru baada ya kumalizana na FC Lupopo ya Congo, na msimu huo aliibuka kuwa kipa bora wa msimu.

More Stories

Yanga yarejea kileleni Ligi Kuu ikiibamiza Fountain Gate 2-0
Yanga yarejea kileleni Ligi Kuu ikiibamiza Fountain Gate 2-0
Today, READ MORE β†’
Kane aifikia rekodi ya Lineker ya mabao 10 kombe la Dunia
Kane aifikia rekodi ya Lineker ya mabao 10 kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’
Simba yalimwa faini 10M, Mabena, Komba wakumbana na rungu la kamati ya saa 72
Simba yalimwa faini 10M, Mabena, Komba wakumbana na rungu la kamati ya saa 72
Today, READ MORE β†’
Simba yamfuatilia kipa wa Zimbabwe Nelson Chadya
Simba yamfuatilia kipa wa Zimbabwe Nelson Chadya
Today, READ MORE β†’
Zwane kukosa mechi zilizobaki kombe la Dunia
Zwane kukosa mechi zilizobaki kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’
Sowah kurejea Singida BS?
Sowah kurejea Singida BS?
Today, READ MORE β†’
Mubiru atua Azam Fc
Mubiru atua Azam Fc
Today, READ MORE β†’
Ligi Kuu: Yanga mikononi mwa Fountain Gate, mechi tatu kupigwa leo
Ligi Kuu: Yanga mikononi mwa Fountain Gate, mechi tatu kupigwa leo
Today, READ MORE β†’
Ghana yaandikisha ushindi wa pili kwa Afrika, Uingereza yaanza kwa kishindo
Ghana yaandikisha ushindi wa pili kwa Afrika, Uingereza yaanza kwa kishindo
Today, READ MORE β†’
DR Congo yapata sare ya kihistoria kombe la Dunia
DR Congo yapata sare ya kihistoria kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’