Baada ya mapumziko kupisha kalenda ya kombe la Shirikisho la CRDB, mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC inaendelea leo ambapo mechi mbili zitapigwa
JKT Tanzania watakuwa wenyeji wa Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo huku Kagera Sugar ikiikaribisha Namungo Fc katika mchezo utakaopigwa Kaitaba saa 1 usiku
