Kibu aibabe Simba kwa Mkapa

Joel JJ By Joel JJ β€’ 15th December 2024

Kibu aibabe Simba kwa Mkapa

Mnyama amebeba alama zote tatu uwanja wa Benjamin Mkapa akiondoka na ushindi wa mabao 2-1 katika mechi muhimu ya hatua ya makundi kombe la Shirikisho dhidi ya CS Sfaxien

Kibu Denis leo alikuwa shujaa wa Simba akifunga mabao yote mawili katika mchezo huo uliokuwa na presha kubwa

Makosa ya beki Che Malone Fondoh yaliinufaisha CS Sfaxien kufunga bao la mapema dakika ya pili tu

Hata hivyo Kibu Denis akairejesha Simba mchezoni dakika 8 baadae akimalizia mpira wa adhabu uliopigwa na Jean Ahoua

Simba ilishambulia muda wote wa mchezo, wakihamia langoni kwa Sfaxien kipindi cha pili lakini changamoto ilikuwa katika umaliziaji

Hatimaye dakika ya mwisho kabisa ya mchezo, Kibu akaweka bao kambani lililoihakikishia Simba alama tatu muhimu nyumbani

Simba imefikisha alama sita katika nafasi ya pili kundi A sawa na CS Constantine

More Stories

Yanga yarejea kileleni Ligi Kuu ikiibamiza Fountain Gate 2-0
Yanga yarejea kileleni Ligi Kuu ikiibamiza Fountain Gate 2-0
Today, READ MORE β†’
Kane aifikia rekodi ya Lineker ya mabao 10 kombe la Dunia
Kane aifikia rekodi ya Lineker ya mabao 10 kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’
Simba yalimwa faini 10M, Mabena, Komba wakumbana na rungu la kamati ya saa 72
Simba yalimwa faini 10M, Mabena, Komba wakumbana na rungu la kamati ya saa 72
Today, READ MORE β†’
Simba yamfuatilia kipa wa Zimbabwe Nelson Chadya
Simba yamfuatilia kipa wa Zimbabwe Nelson Chadya
Today, READ MORE β†’
Zwane kukosa mechi zilizobaki kombe la Dunia
Zwane kukosa mechi zilizobaki kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’
Sowah kurejea Singida BS?
Sowah kurejea Singida BS?
Today, READ MORE β†’
Mubiru atua Azam Fc
Mubiru atua Azam Fc
Today, READ MORE β†’
Ligi Kuu: Yanga mikononi mwa Fountain Gate, mechi tatu kupigwa leo
Ligi Kuu: Yanga mikononi mwa Fountain Gate, mechi tatu kupigwa leo
Today, READ MORE β†’
Ghana yaandikisha ushindi wa pili kwa Afrika, Uingereza yaanza kwa kishindo
Ghana yaandikisha ushindi wa pili kwa Afrika, Uingereza yaanza kwa kishindo
Today, READ MORE β†’
DR Congo yapata sare ya kihistoria kombe la Dunia
DR Congo yapata sare ya kihistoria kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’