Manchester United wana nia ya kumsajili fowadi wa Ufaransa Randal Kolo Muani, 26, kutoka PSG na huenda likawa chaguo la mkopo ambalo lina kifungu cha kumnunua kabisa mwezi Januari. (L'Equipe, kupitia Pata Habari za Soka za Ufaransa)
Kolo Muani ni miongoni mwa mpango wa meneja Luis Enrique na na vilevile anaivutia RB . (Sky Sports Germany)
Newcastle United wanalenga kumnunua mlinzi..... download Xtra 90 App



