Manchester United imesema kwamba inamuuza mshambuliaji wa Uingereza Marcus Rashford, 27, na itaidhinisha uhamisho wa bei ya chini Januari. (Gurad)
Mshambulizi wa Liverpool na Misri Mohamed Salah, 32, anakaribia kusaini mkataba mpya na klabu hiyo. (Marca - Spanish)
Southampton wanafikiria kumnunua meneja wa Sheffield Wednesday, 35, Mjerumani Danny Rohl baada ya kumfukuza meneja..... download Xtra 90 App



