Klabu ya Singida Black Stars imeachana na mshambuliaji raia wa Ivory Coast Joseph Guede
Guede alijiunga na timu hiyo mwanzoni mwa msimu huu baada ya kuitumikia Yanga kwa miezi sita
Hata hivyo ameshindwa kuonyesha makali yake kwa walima alizeti hao na hatimaye jana Singida BS wakatoa taarifa ya kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba wake





