Klabu ya Singida Black Stars imemsusha nchini mshambuliaji raia wa Ghana Jonathan Sowah
Sowah tayari ametua nchini sambamba na Mghana mwenzie, Frank Assinki anayecheza nafasi ya beki wa kati kukamilisha usajili wa timu hiyo dirisha hili la usajili
Hivi karibuni Singida BS ilitangaza kuachana na mshambuliaji raia wa Ivory Coasta Joseph Guede ambaye nafasi yake inakwenda kujazwa na..... download Xtra 90 App



