Jeshi la Magereza Tanzania Bara limemuonya aliyekuwa Msemaji wa Yanga, Haji Manara akituhumiwa kutoa kauli isiyo ya kiungwana juu ya jeshi hilo anayodaiwa kuitoa katika mchezo wa Ligi Kuu kati ya Yanga na Tanzania Prisons uliochezwa jana katika Uwanja wa KMC Complex na Yanga kushinda mabao 4-0
Kupitia taarifa iliyotolewa leo, Desemba 23, 2024 na Msemaji wa jeshi hilo, Kamishna Mwandamizi..... download Xtra 90 App



