Fountain Gate yatimua benchi la ufundi

Joel JJ By Joel JJ β€’ 29th December 2024


Fountain Gate yatimua benchi la ufundi

Klabu ya Fountain Gate imetangaza kuvunja benchi lote la ufundi kufuatia kipigo cha mabao 5-0 dhid ya Yanga

Fountain Gate wamepoteza mechi ya tatu mfululizo leo wakiendelea kuchechea katika ligi kuu ya NBC


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.