Klabu ya Singida Black Stars inatajwa kuwa katika hatua za mwisho kukamilisha usajili ws mlinzi wa kulia raia wa Kenya, Rooney Onyango
Vyanzo vya habari nchini Kenya vimethibitisha Onyango (23) atatua Singida BS baada ya makubaliano ya mauziano ya mchezaji huyo kufikiwa
Tayari Singida BS walishafikubaliana na mchezaji juu ya maslahi yake binafsi





