Local,Transfer News,Yanga

Ikangalombo asubiri utambulisho Yanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
6 Jan 2025
Ikangalombo asubiri utambulisho Yanga

Wakati Yanga ikiibamiza TP Mazembe mabao 3-1 katika nchezo wa ligi ya mabingwa uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa juzi, nyota anayesubiri utambulisho Jangwani Jonathan Ikangalombo alikuwa jukwaani akishuhudia mchezo huo

Ikangalombo alitua Tanzania mapema Jumamosi na moja kwa moja kuelekea uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia mchezo huo

Imeelezwa kocha mkuu wa Yanga Sead Ramovic amepitisha usajili wa winga huyo aliyekuwa akiitumikia AS Vita akitajwa kuchukua nafasi ya Jean Baleke ambaye Yanga imesitisha mkataba wake wa mkopo na kumrejesha katika klabu yake, TP Mazembe

Awali Yanga ilitaka kusajili mshambuliajii lakini Ramovic aligomea mpango huyo akihitaji aletewe winga

Kocha huyo raia wa Ujerumani ni kama anataka kurejesha utamaduni wa Yanga kutengeneza mashambulizi yake kupitia mawinga na walinzi wa pembeni

Ramovic amekuwa akimtumia Mzize kama winga akitokea pembeni na kuingia kati. Mzize amepachika mabao 6 katika mashindano yote tangu ujio wa Ramovic

Ikangalombo ni winga mwenye kasi na uwezo mkubwa wa kupachika mabao akitokea pembeni kama afanyavyo Mzize sasa

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
46m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’