Wakati Yanga ikiibamiza TP Mazembe mabao 3-1 katika nchezo wa ligi ya mabingwa uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa juzi, nyota anayesubiri utambulisho Jangwani Jonathan Ikangalombo alikuwa jukwaani akishuhudia mchezo huo
Ikangalombo alitua Tanzania mapema Jumamosi na moja kwa moja kuelekea uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia mchezo huo
Imeelezwa kocha mkuu wa Yanga Sead Ramovic..... download Xtra 90 App



